• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Same District Council
Same District Council

Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala Za Mikoa na Serikali Za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Same

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idaraya Elimu Sekondari
      • Rasili Mali Watu na Utawala
      • Ardhi Maliasili na Utalii
      • Fedha Na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo Ya Jamii
      • Kazi na Zimamoto
      • Maji
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi.
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Kitengo Cha TEHAMA
      • Kitengo Cha Nyuki
      • Kitengo Cha Uchaguzi
      • Kitengo Cha Manunuzi
      • Kitengo Cha Sheria
    • Kata
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Mipango
      • Elimu,Afya na Maji
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
      • TAMKO LA VIONGOZI WA UMMA KUHUSU RASILIMALI NA MADENI
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
  • Kituo Cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Stoo Ya Picha

DC KASILDA AZINDUA SAME UTALII FESTIVAL MSIMU WA PILI

Posted on: November 1st, 2024

Mkuu wa Wilaya ya Same Mheshimiwa Kasilda   Mgeni amezindua Msimu wa pili wa tasha la Same Utalii Festival (SUF) litakaloanza Desemba 20 hadi 22 mwaka huu 2024.

Tamasha hilo  linalotarajia kuwa na wageni zaidi ya  elfu ishirini litafanyika kwenye viwanja vya MYCA Same mjini.

Tamasha hilo litatanguliwa na SUF marathon(Utalii wa Afya) ambayo itakuwa na mbio za  umbali wa Kilometa 5, 10 na 21 ili wananchi waweze kujiweka sawa kutembelea vivutio vya Utalii.

Katika uzinduzi  huo Mkuu wa Wilaya amewakaribisha Wananchi wa ndani na nje ya Wilaya ya Same kushiriki  Tamasha hilo.

Meneja wa SUF Bw.Hatibu Joshua amesema SUF Msimu wa pili itakuwa ya kihistoria kwani inatarajia kusafirisha watalii toka Dar es Salaam,Pwani na Tanga kwa njia ya treni.

"Treni tutakayotumia itakuwa na mabehewa manne ya SUF ambapo tutakuwa na behewa la Vinywaji,tutakuwa na behewa la nyama Choma,behewa la Music na behewa la Michezo ya watoto,tumejipanga vizuri"alisema Meneja huyo.

Alisema Utalii wa tre ni kutoka Dar es Salaam hadi Wilayani Same, safari itaanza Desemba 18 na kuwasili ni Desemba 19.

Tamasha la SUF litajumuisha pia Utalii kwenye hifadhi ya Taifa Mkomazi (nyumbani kwa faru weusi),kupanda Mlima Shengena na kupanda Mlima kidenge.



Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI October 31, 2021
  • UBORESHAJI WA DAFTARI LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI May 06, 2025
  • Siku ya kufanya usafi mwezi Septemba September 08, 2021
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2020 August 21, 2020
  • Tazama Vyote

Habari Za Sasa

  • MRADI WA SWASH ULIVYONUFAISHA WILAYA YA SAME

    April 03, 2025
  • WANANCHI WA MAKEI,SAME WAONDOKANA NA ADHA YA MAJI

    March 23, 2025
  • SAME YATOA ELIMU YA TAHADHARI YA MPOX MASHULENI

    March 18, 2025
  • MAAFISA UTUMISHI SIMAMIENI STAHIKI ZA WATUMISHI-DC SAME

    March 13, 2025
  • Tazama Vyote

Video

KARIBU MWENGE WA UHURU SAME KILIMANJARO 2022
Video Zaidi

Viunganishi Vya Haraka

  • Forms And Templates
  • Galleys
  • News
  • Events
  • Strategic Plan
  • Reports
  • Acts
  • Malalamiko

Viunganishi Vyenye Uhusiano

  • PO-Ralg
  • PO-Psm
  • e-Government Agency
  • Kilimanjaro Region
  • Employment
  • NECTA

World visitors tracker

world map hits counter

Watembeleaji

free HitCounter

Ramani Ya Wilaya

Wasiliana Nasi

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Sitemap

Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Same.Haki zote zimehifadhiwa.