• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Same District Council
Same District Council

Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala Za Mikoa na Serikali Za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Same

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idaraya Elimu Sekondari
      • Rasili Mali Watu na Utawala
      • Ardhi Maliasili na Utalii
      • Fedha Na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo Ya Jamii
      • Kazi na Zimamoto
      • Maji
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi.
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Kitengo Cha TEHAMA
      • Kitengo Cha Nyuki
      • Kitengo Cha Uchaguzi
      • Kitengo Cha Manunuzi
      • Kitengo Cha Sheria
    • Kata
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Mipango
      • Elimu,Afya na Maji
      • Ujenzi,Uchumi na Mazingira
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
      • TAMKO LA VIONGOZI WA UMMA KUHUSU RASILIMALI NA MADENI
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
  • Kituo Cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Stoo Ya Picha

DC KASILDA AWAASA VIJANA CCM KUKILINDA CHAMA

Posted on: September 18th, 2024

Mkuu wa Wilaya ya Same Mheshimiwa Kasilda Mgeni, amewaasa vijana wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) kuendelea kukilinda Chama ili kiendelee kubaki kwenye hadhi na misingi yake imara ambayo imewekwa na waasisi tangu kuanzishwa kwake.

DC Kasilda amezungumza hayo akiwa Kata ya Mabilioni wakati alivyotembelea kambi ya mafunzo kwa vijana wa UVCCM ambapo amesisitiza vijana kuendelea kukitumikia Chama kwa moyo mmoja ili kuhakikisha kinaendelea kuwa imara zaidi.

“Vijana endeleeni kuwa na mshikamano baina yenu, muwe na umoja kwani umoja wenu ndiyo utafanya Chama chetu kiendelee kuwa imara zaidi na kiendelee kuaminika Kitaifa na Kimataifa” Alisema Mhe.Kasilda.

Mwenyekiti wa Vijana UVCCM wilaya hlya Same Comrade Azza Karisha amesema kuwa katika muda wote wa kambi vijana wamepata mafunzo kutoka kwa wakufunzi mbalimbali, mafunzo ambayo yataenda kuwa na matokeo chanya kwenye Chama hasa kwenye kipindi hiki cha Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.

Vijana zaidi ya 200 kutoka Kata mbalimbali za Wilaya ya Same wamejitokeza kushiriki mafunzo hayo ambayo yameendeshwa kwa muda wa siku tano kuanzia September 12 hadi 16 mwaka huu 2024.

Chama cha Mapinduzi kumekuwa na utaratibu wa kutoa mafunzo na maelekezo kwa vijana wake kupitia kuwaweka katika makambi mbalimbali.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI October 31, 2021
  • UBORESHAJI WA DAFTARI LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI May 06, 2025
  • Siku ya kufanya usafi mwezi Septemba September 08, 2021
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2020 August 21, 2020
  • Tazama Vyote

Habari Za Sasa

  • MRADI WA SWASH ULIVYONUFAISHA WILAYA YA SAME

    April 03, 2025
  • WANANCHI WA MAKEI,SAME WAONDOKANA NA ADHA YA MAJI

    March 23, 2025
  • SAME YATOA ELIMU YA TAHADHARI YA MPOX MASHULENI

    March 18, 2025
  • MAAFISA UTUMISHI SIMAMIENI STAHIKI ZA WATUMISHI-DC SAME

    March 13, 2025
  • Tazama Vyote

Video

KARIBU MWENGE WA UHURU SAME KILIMANJARO 2022
Video Zaidi

Viunganishi Vya Haraka

  • Forms And Templates
  • Galleys
  • News
  • Events
  • Strategic Plan
  • Reports
  • Acts
  • Malalamiko

Viunganishi Vyenye Uhusiano

  • PO-Ralg
  • PO-Psm
  • e-Government Agency
  • Kilimanjaro Region
  • Employment
  • NECTA

World visitors tracker

world map hits counter

Watembeleaji

free HitCounter

Ramani Ya Wilaya

Wasiliana Nasi

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Sitemap

Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Same.Haki zote zimehifadhiwa.