Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Same Bi.Anastazia Tutuba pamoja na menejimenti na watumishi wote wa Halmashauri ya Wilaya ya Same wanatoa pole kwa familia yote na serikali kwa ujumla kwa kumpoteza shujaa na jemedari wetu Dr John Joseph Magufuli.
Bwana ametoa na bwana ametwaa jina la bwana lihimidiwe.Amen.
Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Same.Haki zote zimehifadhiwa.