Sunday 29th, June 2025
@Ukumbi wa mikutano wa Halmashauri ya wilaya ya Same
Warsha ya uboreshaji mazingira wilayani Same yafanyika,vyuo vikuu,wizarani,NGO's,taasisi za kidini,CMT ya Halmashauri ya Same washiriki katika warsha hiyo ambapo wamejadili kwa pamoja mbinu mbalimbali za uboreshaji mazingira katika Wilaya Same.
Tunaitaka Same ya kijani.
Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Same.Haki zote zimehifadhiwa.