Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Same anawatangazia wananchi wote wa Same kuwa tarehe 26/09/2021 ni siku ya usafi kila mwananchi awajibike katika eneo lake .