Posted on: March 19th, 2021
Ndugu mwananchi wa Same
Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Same imeandaa kitabu cha salamu za rambirambi katika ukumbi wa ofisi ya Mkuu wa Wilaya.
Unakaribishwa kutoa salamu za pole.Pia wajulishe na wen...
Posted on: March 18th, 2021
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Same Bi.Anastazia Tutuba pamoja na menejimenti na watumishi wote wa Halmashauri ya Wilaya ya Same wanatoa pole kwa familia yote na serikali kwa ujum...
Posted on: March 2nd, 2021
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Same Bi.Anastazia Tutuba anasikitika kutangaza kifo cha Diwani kata ya Mhezi Mhe.Alan Samwel Mmbaga kilichotokea tarehe 28/02/2021.Bwana ametoa...