Posted on: February 21st, 2022
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Same Bi.Anastazia Tutuba anawatangazia wananchi na wakazi wote wa Same nafasi ya ajira ya muda ya kukusanya taarifa kwenye zoezi la anwani za makazi kat...
Posted on: February 15th, 2022
Mkuu wa Wilaya ya Same Mhe.Edward Mpogolo leo tarehe 15/02/2022 amekabidhi pikipiki Kwa maafisa mifugo wawili wa kata ya Ruvu na kata ya Maore Wilayani Same ambapo pikipiki hizo zimetolewa na Wizara y...
Posted on: February 15th, 2022
Mkuu wa Wilaya ya Same Mhe.Edward Mpogolo ahamasisha zoezi la uvalishaji hereni za kielektroniki Kwa mifugo Kwa viongozi wa chama cha wafugaji kata wilayani Same.
Akizungumza katika kikao hi...