Posted on: September 14th, 2023
Mkuu wa Wilaya ya Same Mhe. Kasilda Mgeni amemuonya mwekezaji wa shamba la Mkonge la LM Investment kuacha kutoa taarifa mitandaoni kwamba wananchi wamevamia na kuchoma moto eneo lake wakati sio kweli....
Posted on: September 8th, 2023
Halmashauri ya Wilaya ya Same,Mkoani Kilimanjaro imezindua mnada na soko la barabarani katika eneo la Kirinjiko kwa lengo la kuongeza mapato na kuwawezesha wananchi watakaofika katika Hospitali mpya y...
Posted on: September 15th, 2023
Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Same Bi.Hamisa Chacha ameiomba Serikali kuiongezea Wilaya ya Same kiasi cha fedha zinazokadiriwa kwaajili ya utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo kutokana n...