Thursday 28th, January 2021
@Kata ya Ruvu eneo la Mvungwe
Mafuriko yaendelea kuikumba wilaya ya Same
Ni katika kijiji cha Mvungwe kata ya Ruvu
Kaya zaidi ya 91 zakumbwa na mafuriko hayo
Uongozi wa kijiji wagawa makazi ya kudumu(ardhi) kwa wahanga hao
Kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya ya Same,kamati ya maafa ya wilaya na wawakilishi kutoka mto Pangani wajadili kujua sababu za mafuriko hayo.
Kamati ya ulinzi na usalama wilaya ya Same,kamati ya maafa ya wilaya na wawakilishi kutoka mto pangani watembelea eneo lililopatwa na mafuriko hayo
Mazao ya vitunguu yasombwa na mafuriko hayo.
The Way Through Mkomazi Nationa Park or District Hospital
Sanduku La Posta: P.O.Box 138
Simu ya mezani: +255 27 2758034
Simu Ya Mkononi: +255 687 786576
Email: ded@samedc.go.tz
Hakimiliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Same.Haki zote zimehifadhiwa.